Vipi yakhe, mbona double standard, kuna yule jamaa
Juakali1980 ametiririka chuki za kikabila sehemu, tulipothubutu kumshauri ukasema tumwache maana anafurahia 'uhuru' wa kutoa maoni, na kwamba eti unapenda sana maoni mbali mbali yanayokinzana. Sasa huyu hapa
Miss Natafuta amefurahia 'uhuru' wake wa maoni, naona unamtolea nje. Hehehe!! Mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadamu mchungu, tuache unafiki na kuvumilia watu wafurahie 'uhuru' wa maoni.