Nawashanga wanaume hawa

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
Hi to all member.Kwanza nianze na salamu za mwaka mpya pili niwape short story ya swahiba wangu alipata binti aliyekuwa amezaa na mwanaume mwingine takribani miaka sita iliyopita na wamedume kwa mahusiano na huyo dada miaka minne na huyoo swahiba wangu sasa kamwacha kwa sababu tu yahuyo mtoto na kudai hawezi kuoa mwanamke ambaye ameshazaa na kudai wao walikuwa wanakula starehe mda wote huo
SASA kuna demu mwingine kampata ili huyu binti nilisoma naye o level namfahamu uzuri sana alikuwa kicheche na alikuwa anatembea getomet wangu na kwakweli kipindi chote cha olevel alitoa mimba nne na hiyo ya mwisho mi ndo nilimwokoa .
Nilimwokoa kwa sababu mimi ndo nilimwongezea damu na kutoa taarifa na kukimbizwa hospitali sasa huyu jamaa kaona kapata na ndoa ni mwezi huu wa kwanza mwishon .
Nilichoshaa ni baada ya kuniambia njo umwone shemeji wako mpya huku wameshaandikisha ndoa kwenda kumcheki hamadi ndiye yule binti hamaki mpaka nikajisikia vibaya sasa nataka kusema hii imekaaje kwenu.WANAUME TAKE CARE NA SIJUI KAMA ATAZAA TENA HUYU BINTI
 
PEOPLE DO CHANGE NAOMBA ULITAMBUE HILO! (MY SELF IM A CHANGED PERSON IN 2015!:spit:! I just got back my sense of humor back!. This year will be flattering year! NiTAWAPELEMBA MPAKA MTA FURAHI NA ROHO ZENU)

BACK TO TOPIC!

People do change! Na mtu kufanya mambo mabaya doesnt really mean she is a bad person at heart or a bad wife. And sometimes unakuta mtu alivo he will do great with a terrible wife. Mfano mwanaume kicheche akipata mke kicheche swadaktaaaa kabisaaa ndoa itadumu miaka 100 ila angepata mke mchngaji yangekuwa majangaaa!

Na mtu kutoa mimba nyingi doesnt necessary mean she is a BAD person. Wasichana wengine ni NAIVE tu hawana maamuzi, wanaburuzwa buruzwa tu, na kupenda kufuruhisha watu they cant stand for themselves. Sasa unakuta jitu halitumii condom anashindwa kumshikia bango ndo hivo kushusha tu. Au mtu anafumania anasamehe. Watu wako ndoani wanashusha engine kama kawaida za waume zao ila ndo u naive mwanaumehataki atumie uzazi wa mpango calendar ndo inakuwa kitu pwani, wanashusha.

And they are some of us, ambao DINI TUNAIJUA sio kwa nje mpaka historia za kina Constantine Napoleon, mima hatujawahi shika kama wagumba vile au mademu wa Dimond, well mannered, morals usiongee, watu wa kuheshimika ILA AT HEART NI TERRIBLE TERRIBLE TERRIBLE PEOPLE! NIGHT MARE. Ndo yale mkeo anakwambia sitaki kumuona mama yako hapa mama yako kigagula sijui looser gani mchungaji kasema. uwezi mpa kaka yako sh 10 isiwe kesi. Huwezi kurudi zadi ya saa 2, thubutu yakooo. Mshahara unaweka mezani na salary slip. Ukishika kitu cha mke gubu gubu gubu utajuuuuta kumfahamu. Ndugu zako sahivi ndugu wa mkeo ndo umewajaza insta FAMILY! Nyokolostiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Naongea hivi yamenikuta mwenzenu.:smash:
 
sijui jamii inachukuliaje suala la kuzalia nyumbani! Kwani mtu anaondokewa na utu wake kwa kuzalia nyumbani?
 
Mwache aoe bana , kwa kizazi hiki sijui kama kuna binti hajawahi kutoa mimba at least moja.
 
Usiumie mdada!!! Mwenye mali huamua atumieje mali zake. Ona hata ww amekualika as a frnd...yuko fare. Wew unamhurumia mwanamke mwenzako....wasi wasi wangu anayeachwa hakuwekeza vema hapo. Yeye alikaa tuuu...akaona amefika tuuuu...ata cku zinaenda asijibidiishe kuwa na hakika ya uwepo wake hapo wa daima.

Miaka sita wanaishi tuuu! Do! Hawajazaa tena...usimlilie...yeye anajua wy this. Me naona ni stahili yake. NAWE JIFUNZE KWAKE.....Mm nataka mke sio dem..niliwah kumwambia ke... Fuata uelekeo wangu kama umeridhia idea yangu...mambo ya msingi kuhusu ww na mm..aka hiv test, posa, ndoa...niko aafi...ila sina shereh ya ukumbini. nafany haya fasta ili niwe nawe ndani...niwe nagegeda...ukisubir shereh ndo uje kwwngu...ntakuwa nimepata apetite na aliyekaribu yangu......MAANA YANGU ni kuwa huyo jamaa kaamua kuoa ghafla coz kaona malengo yake hayaendi sawa na huyo wa awali. Ni hisia yangu. NAMI YALINITUKIA IVVO.
 

Napendekeza kwamba, ili kupunguza ngono zembe na mimba zisizotarajiwa wanaume wasio wanawake waliozaa tayari na mwanaume mwingine.
 
Mbona Hamna tatizo hapo, watu wanabadilika bana, let them start a new life and dont have prejudice, inawezekana hata bwana harusi kashazicholopoa kwa michepuko yake nyingi tu
 
Pain changes people! There Is No Permanent Situation. By the way, don't take LIFE too serious coz it is not permanent. Muache swahiba wako aoe. Acha kumuonea 'donge' shosti wako, nawe ngojea utaolewa tu, just stay in hope-mode!

-Kaveli-
 
Muacheeee kama karuka kojo akakanyaga mavi ndio tutajua. Nashangaa eti mwanamke kazaa simtaki kwahivyo alikuwa anasaka mgumba na ndio huyoo kabahatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…