Nawasalimia

Nawasalimia

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,561
Reaction score
16,339
_*Nawasalimia MADEM wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_

_*Nawasalimia MADEM weupe mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_

_*Nawasalimia MADEM Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,*_

_*Nawasalimia MADEM wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_

_*Nawasalimia MADEM ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_

_*Nawasalimia MADEM wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani*_

_*Nawasalimia wale MADEM nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo TumeachanaNiwaambie SICHUNIKI,*_

_*Nawasalimia wale MADEM wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI*_

_*Nawasalimia Wale MADEM Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua PLEASE NIPENI BREAK,*_

_*Nawasalimia MADEM Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie*_

_*Nawasalimia wale MADEM mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI*_

_*Nawasalimia Wale MADEM nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI *_

_*Nawasalimia wale MADEM woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_

_*Nawasalimia wale MADEM ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI Muoneni Ras Simba*_

_*Nawasalimia Wale MADEM wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI *_

_*Nawasalimia wale MADEM mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_

_*Nawasalimu MADEM mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_

Nawasalim sana.
 
Kushindana na mademu ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Tunakusalimu wewe mwandika uzi tunaomba utafute pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom