Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
_*Nawasalimia
WASICHANA
wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia WASICHANA weupe
mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*_
_*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano
P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,*_
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI

Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*_
_*Nawasalimia WASICHANA ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani


*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo
Tumeachana
Niwaambie SICHUNIKI,*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI


*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua

PLEASE NIPENI BREAK,*_
_*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie

*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI

*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI

*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_



_*Nawasalimia wale WASICHANA ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI


Muoneni Ras Simba*_
_*Nawasalimia Wale WASICHANA wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI


*_
_*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi

WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*_
_*Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_
Sent using Jamii Forums mobile app
WASICHANA
wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*__*Nawasalimia WASICHANA weupe
mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI,*__*Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano

P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,*__*Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI


Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,*__*Nawasalimia WASICHANA ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,*_
_*Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani



*__*Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo

Tumeachana
Niwaambie SICHUNIKI,*__*Nawasalimia wale WASICHANA wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI



*__*Nawasalimia Wale WASICHANA Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua


PLEASE NIPENI BREAK,*__*Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie


*__*Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI


*__*Nawasalimia Wale WASICHANA nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI


*__*Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA*_




_*Nawasalimia wale WASICHANA ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI



Muoneni Ras Simba*__*Nawasalimia Wale WASICHANA wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI



*__*Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi


WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,*__*Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!*_
Sent using Jamii Forums mobile app

, ukimwambia nafanya kazi bank anakuandikia mwenyewe kwenye sim yako sio kukutajia ili wewe uandike. Wanajua kunyenyekea sana