Nawapongeza bodi ya mikopo kwa kukusanya mikopo ipasavyo

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
1,474
1,079
Mwezi huu Loan Board wameanza kukata hela niliyokopeshwa miaka kadhaa huko nyuma, nawapongeza kwa hatua ya kunisaka mpka kunipata hivyo sina namna ya kuwakwepa tena. Wale wote mnaodaiwa anzeni kutia maji nywele
 
Pia napenda kufahamu Je, kwa wale ambao tulianza kupokea mkopo wa Loan Board katika mkataba wetu kuna sehemu ambayo ilisema tutalipa na fine kama tukichelewa kuanza kulipa deni? Je ni sahihi kulipisha mtu fine kwenye mkopo hii Si sawa na Riba? Je kwa wale ndugu zetu Waislam hii itakuwaje? Njooni tujadili
 
Mwezi huu Loan Board wameanza kukata hela niliyokopeshwa miaka kadhaa huko nyuma, nawapongeza kwa hatua ya kunisaka mpka kunipata hivyo sina namna ya kuwakwepa tena. Wale wote mnaodaiwa anzeni kutia maji nywele

Ukitaka kufahamu deni lako unafanyaje mkuu...ukiwa mkoa
 
Mwezi huu Loan Board wameanza kukata hela niliyokopeshwa miaka kadhaa huko nyuma, nawapongeza kwa hatua ya kunisaka mpka kunipata hivyo sina namna ya kuwakwepa tena. Wale wote mnaodaiwa anzeni kutia maji nywele
asilimia ngapi? wamefyeka? na upi kwenye ajira kwa muda gani
 
Nalipa deni toka 2012, namaliza mwaka huu. Nilipaswa kuanza kulipa mwaka 2011, hivyo nilipigwa faini 10%, jumla ya deni na faini ilikuwa milioni 7.2.
 
Hivi kuna document yoyote unapewa pindi unapomaliza deni..??
 
Mume utanisaida kulipa deni...
Mie sitamani hata wajue nilipo to be honest.... kuna siku walikuja ofisini nikajua ndio makato hayo wanaanza sijui waliishiaga wapi...
Wanachofanyaga ni HR kupitia CV halafu anatoka list ya watu waliosoma hadi varsity na miaka waliyomapiza then from there unakatwa. Mi nimeshamaliza mwaka juzi.

Hivi kuna document yoyote wanatoa kuonyesha umemaliza..?
 
Kwa namna nilivyokuwa naupata huo mkopo kwa shida tena muda mwingine kwa kupigwa virugu na mabom chuon... Niliapa... Ninaapa na nitaendelea kuapa kwamba sitatoa ushirikiano wowote kilipa deni hili....

Nasema tena sitalipaaaaaaaaaaaaaa
 
Mume utanisaida kulipa deni...
Mie sitamani hata wajue nilipo to be honest.... kuna siku walikuja ofisini nikajua ndio makato hayo wanaanza sijui waliishiaga wapi...

Ngoja niwasiliane na Mama Ndalichako, wiki kesho watakuja ofisini kwako fasta.

Labda nipe hela ya bia weekend.
 
Hivi kuna document yoyote unapewa pindi unapomaliza deni..??
Sijajua kama unapewa, ila wanapoanza kukata unapewa barua kuwa deni lako ni kiasi gani na wanakata kiasi gani kila mwezi. Nitajua pale deni liliisha kama kuna document yoyote inatolewa.
 
Mwezi huu Loan Board wameanza kukata hela niliyokopeshwa miaka kadhaa huko nyuma, nawapongeza kwa hatua ya kunisaka mpka kunipata hivyo sina namna ya kuwakwepa tena. Wale wote mnaodaiwa anzeni kutia maji nywele
Upo sekta gani mkuu? Mi najua wanawakamata walimu tu.
 
Kwa namna nilivyokuwa naupata huo mkopo kwa shida tena muda mwingine kwa kupigwa virugu na mabom chuon... Niliapa... Ninaapa na nitaendelea kuapa kwamba sitatoa ushirikiano wowote kilipa deni hili....

Nasema tena sitalipaaaaaaaaaaaaaa

Already identified for further measures
 
Back
Top Bottom