Nawapataje Azam TV Call Center?

senicoms

Member
Joined
Aug 26, 2017
Posts
14
Reaction score
8
Habari wadau, hivi nawezaje kuwapata Azam TV Call Center au Huduma kwa wateja? Nimeuliza hivyo kwa maana kila ninapo jaribu kuwapigia kwa namba zao zilizowekwa inachukua muda mrefu sana kusubiria hewani bila kupokelewa. Tafadhari kama kuna mdau mwenye namba nyingine naomba anitumie zaidi ya hii niliyo nayo (0784108000) Ahsanteni.
 

Huwapati!!mi sijawahi wapata na king'amuzi chao nilishafungia........ni upuuz mtupu.hawana msaada kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…