julius caesar
Member
- Mar 20, 2015
- 94
- 27
- Thread starter
- #21
Aisee pole sana, ipo siku utafanikiwa
Asante ndugu yangu kwa kunitia moyo!!
Aisee pole sana, ipo siku utafanikiwa
Yani ndugu yangu natamani ningekuwa jogoo!
Piga nyeto
Jogoo dume au jike?
aiseeee
Nitampata wapi wa ndugu?,na wote wanataka pesa!
Mbona jogoo mwenyewe anajua kuhonga kwa sana tu. Akiona chakula hali bali hutoa mlio wa kuita majike yaenda kula ili naye apate mradi wake. Hiyo ni hongo. Vinginevyo angekula yeye.
Tetea Upo ? Hebu Muhurumie Jogoo Huyo
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaa nauza dawa ya kujigeuza jogoo je wahitaji bado? au ushapata? kwa sekunde kadhaa tu utakuwa jogoo.
Ndugu yangu sina hela hata hiyo pesa ya kununua. Hiyo dawa nitaipata wapi?
Piga nyeto
Ndugu yangu amesema hana pesa,hiyo ya kununulia dawa ataitoa wapi?