Nawaonea wivu hawa jamaa

Swali lako linaweza jibiwa na NASA. Kuna kipindi inafika kituo cha International Space Station wanakaribisha maswali kwa wananchi na wadau mbalimbali kuhusu kazi zao kwenye space sasa hapa unaweza uliza chochote tu.

Niliona watu wanauliza "je mkiwa kwenye space mnapiga mswaki? "

Maswali tofauti yanaulizwa mengine yatakushangaza
 
yeah uko sawa mkuu huwa wanayajibu tena mengine huonyesha na video kama kupiga mswaki n.k sasa jamaa yangu hapo hilo swali lake watamjibu kwa maneno lbd wapeleke wachezaji x wachukue ka video!!😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…