Nawaonea wivu hawa jamaa

Hivi mkiwa kwenye space mnaweza kufanya mapenzi? Nataka niende na wife Wangu huko
😀😀😀
mkuu inawezekana lkn uwe sehemu maalum kwenye yale mandege sio hapo alipo jamaa!
gharama utazimudu..?
 
nishagaisoma lkn nilivyojaribu nothing happen zaidi ya kupiga mbonji tu!
JF tunadanganywa vitu vingi sana.
Back to the new topic, maana ile topic yako ya wanaanga imekufa rasmi.
Ulikuwa unataka kufanya astral projection ili kudiscover vitu vipya, adventure au ulikuwa huna nauli ya kwenda ulikotaka kwenda?
 
kudiscover vitu vipya na kuijua elimu hii ni hivyo tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…