Nawamiss Ila......


Hata sie tulikumiss.... haya najua mfuko ushatuna tugaiee basssiiiiiiiiiii
 
Rich woman ule utaratibu ni mzuri..naaandaa mchanganuo wangu mwingne
 
Last edited by a moderator:
LOL sio hivyo mpenzi wang we mwenyewe unajua huwa tunakutana wapi na si nyakati za shida tu hapana ht nyakati za raha.... mekumiss Paloma my wedding planner/adviser......kisses for you darling

mweee.....haya mamito! hope all is well na umezichanga za kutosha ili tuplan kitu ingine!!!
i missed you too rich lady!
 
. . . . Nimekumiss Paloma mpaka najisikia kutetemeka. Afu nimegundua kuwa nakulavu sana. sosoliso tupa kulee!


mi sitaki kulaviwa ujue! tafuta blanketi la kimasai basi uache kutetemeka!!! sosoliso ndo kipimajoto changu nnachowekea hirizi yangu inayopumua siwezi kumtupa popote!!!
 
Last edited by a moderator:
mweee.....haya mamito! hope all is well na umezichanga za kutosha ili tuplan kitu ingine!!!
i missed you too rich lady!

ile ya kwanza iliisha salama kabisa kuna nyingine... Nisaidie kwanza rangi ya brown na baby yellow zinapendeza au???
 
ile ya kwanza iliisha salama kabisa kuna nyingine... Nisaidie kwanza rangi ya brown na baby yellow zinapendeza au???

zinapendeza mamy....ila inategemea na ipi unataka iwe nyingi!!! sipendi brown iwe nyingi.....looks like wale mafadha wa makapuchino!!! (((sorry for this comment)))
 
Paloma saivi naamini sikukumbushii machungu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…