NAWAKUMBUSHA VYA PINZANI KUDAI TUME HURU

The killar

Senior Member
Jan 2, 2017
112
87
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni wakati muafaka kudai tume huru ya Uchaguzi sasa na sio kungoja hadi uchaguzi ufike ndio kelele zianze inakuwa haina maana yoyote.

Si fahamu kama mmekuwa wasahaulifu kiasi hicho kwa kelele mlizokuwa mkiipigia tume kipindi cha uchaguzi zote zimeisha sijui mnakula pension au mpo busy lakini hili la tume huru ya uchaguzi ni moja ya mambo ambayo yalitakiwa yawaweke busy

Kila la kheri katika kuisahau tume huru ya uchaguzi..........

Karibuni kwa maoni na maboresho..
 
Back
Top Bottom