Msikilize mwenza wako, narudia tena msikilize mwenza wako kwani huyu ni mtu anayekujua kwa undani kuliko watu wengine.
Ndiye anayepaswa kuwa mshauri wako wa kwanza.
Omba ushauri na maoni kutoka kwa mwenza wako na atakueleza ukweli ambao utakusaidia sana.
Ndiyo maana kila siku mnashauriwa tafuta mke mwenye akili kichwani utafika mbali. Ukichagua uzuri wenye kichwa cha madafu utaisoma namba. Chagua uzuri wa kichwani. Chagua akili...