Nawakumbusha CHADEMA kwamba mikutano ya vyama vya siasa inapaswa kufuata sheria na taratibu za mikutano

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
115
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar 25/3/2025.

Ni kweli kabisa Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali. Mhe. Heche leo tarehe 25 Machi 2025 alikuwa amepanga Kufanya MKUTANO katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni yao ya No Reforms No Election.

SHERIA NA TARATIBU ZA KUFUATWA ILI KUFANYA MIKUTANO.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, kila Mtanzania anao uhuru wa kukutana kwa hiari na amani hivyo mikutano ya vyama vya siasa ni haki ya kikatiba kwa mujibu wa Ibara ya 20(1).

Lakini ili upata haki hii ya KIKATIBA ni lazima ufuata sheria zilizotungwa na Bunge ni pamoja na Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258 (The Political Parties Act, Cap. 258) Kifungu cha 9(1)(c).

Chama cha siasa kitakuwa na haki ya kufanya mikutano ya hadhara kwa mujibu wa sheria zilizopo, Na Kifungu cha 11(1) na (3).

"Hakuna mtu yeyote atakayekizuia chama cha siasa kilichosajiliwa kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa sheria hii."

Kwamba ili mikutano ya vyama vya siasa iweze kufanyika lazima ifuate Sheria na taratibu zilizowekwa.

Taratibu zinazotakiwa kufuatwa ni pamoja na Sheria ya Jeshi la Polisi kwa Huduma za Usalama, Sura ya 322 Kifungu cha 43

"Jeshi la Polisi lina wajibu wa kulinda mikutano ya hadhara baada ya kupokea TAARIFA YA KUSUDIO LA KUFANYIKA KWA MKUTANO KABLA YA MASAA 48"

CHADEMA wamepeleka TAARIFA ya kufanyika mkutano MASAA 12 kabla ya Mkutano kufanyika kinyume kabisa na Sheria ya Jeshi la Polisi.
 
Wewe uliyeandika haya ni mpuuzi. Sema ni taratibu gani iliyokuwa haifuatwi au taratibu mnazijua nyinyi tu huko ccm kwa kuchukua magari ya policcm wawapeleke mikutatoni?
 
Mambo mengi muda nchache...people's power wanaamsha popooo huku mpaka watu wanasema wana mzigo wa Ebola😀😀

Mix by Yas,jayayo yanafurahisha...
Nguvu itumike kidogo kama sisi wa CCM tuwaone itakuwaje..ukitumia nguvu nyingi unakiuka 4R za Mama.
 
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar 25/3/2025.

Ni kweli kabisa Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali. Mhe. Heche leo tarehe 25 Machi 2025 alikuwa amepanga Kufanya MKUTANO katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni yao ya No Reforms No Election.

SHERIA NA TARATIBU ZA KUFUATWA ILI KUFANYA MIKUTANO.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, kila Mtanzania anao uhuru wa kukutana kwa hiari na amani hivyo mikutano ya vyama vya siasa ni haki ya kikatiba kwa mujibu wa Ibara ya 20(1).

Lakini ili upata haki hii ya KIKATIBA ni lazima ufuata sheria zilizotungwa na Bunge ni pamoja na Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258 (The Political Parties Act, Cap. 258) Kifungu cha 9(1)(c).

Chama cha siasa kitakuwa na haki ya kufanya mikutano ya hadhara kwa mujibu wa sheria zilizopo, Na Kifungu cha 11(1) na (3).

"Hakuna mtu yeyote atakayekizuia chama cha siasa kilichosajiliwa kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa sheria hii."

Kwamba ili mikutano ya vyama vya siasa iweze kufanyika lazima ifuate Sheria na taratibu zilizowekwa.

Taratibu zinazotakiwa kufuatwa ni pamoja na Sheria ya Jeshi la Polisi kwa Huduma za Usalama, Sura ya 322 Kifungu cha 43

"Jeshi la Polisi lina wajibu wa kulinda mikutano ya hadhara baada ya kupokea TAARIFA YA KUSUDIO LA KUFANYIKA KWA MKUTANO KABLA YA MASAA 48"

CHADEMA wamepeleka TAARIFA ya kufanyika mkutano MASAA 12 kabla ya Mkutano kufanyika kinyume kabisa na Sheria ya Jeshi la Polisi.
Nionyeshe barua moja tu ambayo CCM wamepeleka Polisi wilaya yoyote Shinyanga kwenye ziara ya Wasira, moja tu.
 
Kwa taarifa yako ccm huwa hawapeleki hata hiyo ya 12 hours na gari za polis zinatumika kusomba wanaccm
 
sawa dada Irene!

Ila CCM wao wanafuata taratibu zote sio, na hata siku moja hawajawahi kutokuzingatia taratibu na sheria, na ndio maana hadi magari ya polisi yanakuwapo kwenye misafara yao, sindio ee?

kwa hio watovu wa sheria nchi hii na wasiozingatia sheria ni CHADEAMA tu

uzuri mwaka huu tutaelewana tu
NO REFORMS NO ELECTIONS
 
CCM akili zao bwana yani ushenzi wenu bado mnataka kuona wengine ni washenzi
 
Kumekuwa na UPOTOSHAJI mkubwa wa sakata la kuzuiwa kwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Chadema John Heche Kufanya MKUTANO wa hadhara bila kufuata Utaratibu (kibali), Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya tar 25/3/2025.

Ni kweli kabisa Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti bara Mhe. John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali. Mhe. Heche leo tarehe 25 Machi 2025 alikuwa amepanga Kufanya MKUTANO katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni yao ya No Reforms No Election.

SHERIA NA TARATIBU ZA KUFUATWA ILI KUFANYA MIKUTANO.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, kila Mtanzania anao uhuru wa kukutana kwa hiari na amani hivyo mikutano ya vyama vya siasa ni haki ya kikatiba kwa mujibu wa Ibara ya 20(1).

Lakini ili upata haki hii ya KIKATIBA ni lazima ufuata sheria zilizotungwa na Bunge ni pamoja na Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258 (The Political Parties Act, Cap. 258) Kifungu cha 9(1)(c).

Chama cha siasa kitakuwa na haki ya kufanya mikutano ya hadhara kwa mujibu wa sheria zilizopo, Na Kifungu cha 11(1) na (3).

"Hakuna mtu yeyote atakayekizuia chama cha siasa kilichosajiliwa kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa sheria hii."

Kwamba ili mikutano ya vyama vya siasa iweze kufanyika lazima ifuate Sheria na taratibu zilizowekwa.

Taratibu zinazotakiwa kufuatwa ni pamoja na Sheria ya Jeshi la Polisi kwa Huduma za Usalama, Sura ya 322 Kifungu cha 43

"Jeshi la Polisi lina wajibu wa kulinda mikutano ya hadhara baada ya kupokea TAARIFA YA KUSUDIO LA KUFANYIKA KWA MKUTANO KABLA YA MASAA 48"

CHADEMA wamepeleka TAARIFA ya kufanyika mkutano MASAA 12 kabla ya Mkutano kufanyika kinyume kabisa na Sheria ya Jeshi la Polisi.
hii no reforms no election naona sasa kwa polisi nayo imeanza kuingia
 
Back
Top Bottom