Nawahitajia ndugu zangu

Yaan bwana mdogo kama umeamua kutafuta humu inakupasa ujiandae kisaikolojia.
Ngoja nikusaidie kuwaita.
atoto , miss chagga, charty, kuna kipusa kinalandalanda njoo mkitoe upepo

Yaani hapa nina majonzi acha tu, nikajua mchumba huyu nimempata, sasa maelezo marefuuuuu hata sijaona kipengele cha msingi kabisaaaa cha kipato na nini anamiliki mjini hapa, hizo sifa zooote ninazo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu huyo mwenye CONSTRUCTIVE IDEAS utamjuaje?..Au kutakuwa na interview

Unajua nini Mkuu?
Ideas za mtu na namna zilivyo huweza kuzitambua hata katika maongezi ya kawaida tu anavyozungumza, mfano uchaguaji wa maneno kutokana na setting n.k
 
Konaaa nyiiingii na mbio kama mteteeaa kumbe mwisho wa siku pwaaaa.... Aise hongeraa na pole kwa kumwacha mwenye mtoto na kuanza kusaka mgumba. Hongera kaza butii Mwakaaaaniii ulete mrejesho mzuuriii
 
Yaani hapa nina majonzi acha tu, nikajua mchumba huyu nimempata, sasa maelezo marefuuuuu hata sijaona kipengele cha msingi kabisaaaa cha kipato na nini anamiliki mjini hapa, hizo sifa zooote ninazo.

maelezo ni njia ya kutafuta huruma. Hebu jaribu unaweza kumnasa
 
Hajui wengine wavivu kusoma,akiona Uzi mrefu anaishia kati kiporo anamalizia kesho yake..akija mwingine anaenda direct matokeo yake siku hiyo hiyo anapata mke humu.

Atapishana na bahati kabisa.. mpaka unamaliza kusoma ushasahau inahusu nini!!!
 
Kaoe nyumbani kwenu wewe! Kuanza na kosa la kuoa usiyemjua vema, kusikupe nafas ya kurudia tena kosa hilo.
Take it or ignore it
I have noticed ur advice Mkuu with much appreciations,
Lakini issue ya kuoa nyumbani katika zama hizi binafsi sioni kama applicable,mazingira ya sasa yanatulazimisha kutokaa/kutoishi maeneo yetu asili kwa muda mrefu haijalishi u mwanaume au u mwanamke, hivyo it's hardly to be acquainted with some folks at ur homeplace
Ninachoamini ni kwamba, kama vile nijionavyo COMELY BEHAVIORED basi pia kuna binti au mwanamke aliye COMELY BEHAVIORED too, na kama at this moment nipo mtandaoni, hata yeye pia anaweza akawa mtandaoni sasa.
Huyo ndiye nimtafutae.
 
maelezo ni njia ya kutafuta huruma. Hebu jaribu unaweza kumnasa

Mmmh hawa watia huruma huwa kuna kipengele cha msingi mnooooo kinamiss, acha inipite hii.
 
Yaani hapa nina majonzi acha tu, nikajua mchumba huyu nimempata, sasa maelezo marefuuuuu hata sijaona kipengele cha msingi kabisaaaa cha kipato na nini anamiliki mjini hapa, hizo sifa zooote ninazo.

Daah!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…