Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,586
- 81,551
Kwaivo akili inakuwa haina utafouti na mfanyabiashara anaeumiza akili kutafuta soko la bidhaa zake
Akijibu zaidi ya hizi emoticons nitag [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametembelea gia mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kusogeza kununua vipodozi wigi mavazi na vitu vya chumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yeye kaong3lea wadada wanaotegemea nyuchi zao kuishi.
Hauwezi kuwa billionaire ila huwezi kushindwa kusogeza maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
wataji2ma vp wakat wengne mtaj yao ni ujuz walopew katikat ya mapaja yao!![emoji85][emoji85][emoji85]"Nimetembea na Mabilionea kadhaa lakini Bado sijawa Bilionea...Utajiri hauhamishwi kwa njia ya Ngono, Zaidi unakuwa Mtumwa na kutumika kwa kiungo chako wewe mwenyewe kila siku na siku zote.. tufanye kazi"
-Hudda Monroe
-Nairobi - KenyaView attachment 1000900
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakataa kukua demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shindwa pepo mchafu.....huda mwenyewe kaona anaumiza sehemu zake za siri bureee nahisi kang'atuka sasa
Mbona mm ninao huo ugonjwa naambukizaNikajua utajiri unaambukizwa
Kwa Wadada wa Bongo watasubili sanaNi kweli. Unapata hela unalipa kodi unasukuma usafiri wako unavaa unavyotaka ila akili yako muda wote unawaza kutafuta mwenye hela zaidi maisha yasonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ile.kitu Haichakai ata akikupa leo utaeiona safi kabisa ukijumlisha na Uzuri alio jaaliwa
Ningetembea hata uchi ili nipate hill gonjwa
Kabisa.
Too general mkuu. kiholela how?Sio kina Dada wote ongezea kwenye heading yako WADADA WENYE KUTUMIA NYUCHI ZAO KIHOLELA