Nawagopa sana 'church girls'

Mi ni Buddha ila madem wa kiroma na kisabato wananikosha balaa huwa navaa suruali ya kitambaa nashika na biblia nakaa kwenye njia ya kanisan navizia saruku yangu niimbishe
 
Mi ni Buddha ila madem wa kiroma na kisabato wananikosha balaa huwa navaa suruali ya kitambaa nashika na biblia nakaa kwenye njia ya kanisan navizia saruku yangu niimbishe
Mimi ni church Boi japo Kwa sasa nimekuwa Muhuni..

Hawa viumbe nawajua Vizuri Sana Nimewakula Sana Ila Jumapili wanapanda madhabahuni kama kawaida.

Hadi ikafika muda nikasema sitakuja kuoa Churchgirl maana wanafiki Sana japo hata huyu niliyenaye ni churchgirl Ila Amekengeuka Tu kama Mimi Tunaenda kanisani kama kawaida na Tunafanya project zetu na Nina mkula kama kawaida.

Juzi nikawa namuuliza Nani alimpa Bikra akawa ananieleza ni mtoto wa Mzee wa kanisa alilokuwa anasali awali na wote walikuwa wanapraise so Mimi nimemchana na kumwambia siku utakayonicheat ndo utakuwa mwisho wangu Mimi na wewe...

Sijiamini Hivi vidada vichurch Girl
 
Ogopa sana mwanamke ambae ameamua kukuonesha yeye ni mlokole aisee utajua hujui... kuna jamaa ake ambae anamuona ni malaya tu huyo ndo anafaidi
 
narudia tena wanawake wapenda dini kama walokole ni vichaa na wale wa mabaibui wanakuja kuolewa na waganga wa kienyeji
 
Ogopa sana mwanamke ambae ameamua kukuonesha yeye ni mlokole aisee utajua hujui... kuna jamaa ake ambae anamuona ni malaya tu huyo ndo anafaidi
Yes. Church gals are the easiest. If u take her to a more secular environment then anajiachilia utafikri sio yule aliekuwa anakuzingua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yes. Church gals are the easiest. If u take her to a more secular environment then anajiachilia utafikri sio yule aliekuwa anakuzingua

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
yaah ila sasa ukiamua kumchukulia kama mlokole utajua hujui... 😃 😃 😃 nilipata limoja likanipeleka na kanisani kwao nyie kuja kujua ukwelii kuna mwana analichakazaa balaaaa
 
yaah ila sasa ukiamua kumchukulia kama mlokole utajua hujui... nilipata limoja likanipeleka na kanisani kwao nyie kuja kujua ukwelii kuna mwana analichakazaa balaaaa
Wamama Wa Chachi Hizo Nao Wana Mazonge Hatari.
.
Kuna church nilianzanga kwenda hapa Dom, and in 2 months nikakutana na mademu kama wa3.
.
One of them alikuwa ni an older respectable Mama now became a regular.
.
Huyu Mama She was a single Mum of 2 gals.
Nilikuwa namkamua like crazy

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mi ni Buddha ila madem wa kiroma na kisabato wananikosha balaa huwa navaa suruali ya kitambaa nashika na biblia nakaa kwenye njia ya kanisan navizia saruku yangu niimbishe
 
Dah ila mademu,nilipataga kamoja yani ni kadogo kimaumbile yani kama katoto ka primary,kuja kukaingiaa yani breki ilikuwa mbupu.
 
Kwanza nikupe pole mleta Uzi...

Ila naomba nichangie hivi:pamoja na hayo yote bado church girls huwezi kuwafananisha na hawa wa "kidunia".
 
Wakuu Kuna church girl Mmoja alinikazia kabisa ati lazima niokoke nimuoe ndio nimnyanjue.

Kumbe chini ya maji alikuwa anapigwa miti na wadosi at her place of employment.

Na vile alikuwanga soft meat like a rabbit banae nilivyokuja kujua, nikasema kumbe Hawa church girl Miyeyusho kinoma

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
There is no such a thing as church girl...
Tena usiwamin hao wanaotumia kivuli vha dini, behind the scene wana matukio mazito sana

Amini matendo yake, si image anayoiweka mbele
 
Wakuu Kuna church girl Mmoja alinikazia kabisa ati lazima niokoke nimuoe ndio nimnyanjue.

Kumbe chini ya maji alikuwa anapigwa miti na wadosi at her place of employment.

Na vile alikuwanga soft meat like a rabbit banae nilivyokuja kujua, nikasema kumbe Hawa church girl Miyeyusho kinoma

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Ukielewa kuwa sio kila aliepo kanisani ni mke au mume basi hata usingechotwa akili
Bahati mbaya siku hizi kanisani watu wanaenda tu ili waonekane ama ni Kama tamaduni tu lazima aende kanisani

Nakwambia siku ukija kukutana na binti wa wokovu kweli kweli utafungua uzi kushukuru
 
Tatzo n kwamba mmewaona n watu tofaut na wengine, wao pia n binaadamu na pia wanafanya yote yale uyaonayo kwa wengne iwe adharan au sirini.

Hofu ya Mungu ikiwa ndani ya muhusika hayo yote hayawez kuwa, anaweza akawa kanisan na asiwe na hofu ya Mungu ndani yake.

Kwenda kanisani ama mskitini hakubadili tabia asili aliyonayo mtu, mpk pale mtu binafs anapoamua kuacha makando kando yake na kuwa na hofu ya Mungu ndani yake.

Ukiwa na hofu ya Mungu utaacha kutenda dhambi, maana dhamir ya ndani itakusuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom