Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume.

Wanaume wa sikuizi wengi wao.
Hawana mapenzi ya dhati.
Wameacha kutujali kama zamnai.
Hawatusikilizi.
Wanatudharau.

Kiukweli nawachukia tu
km we ni mwanamke wa zamani unatafuta nini kwa vitoto? Umalaya tu unakusumbua
 
Nawachukia sana wanawake, wanapenda tuwajali lakini wao hawajali mtu, wanapenda kupewa Wala hawapendi kutoa, wanadhani maungo yao ni fulsa ya kupatia kipato wanasahau kuwa nao wana mikono miwili miguu miwili, na kichwa kimoja kama wanaume
 
Nawachukia wanaume.

Wanaume wa sikuizi wengi wao.
Hawana mapenzi ya dhati.
Wameacha kutujali kama zamnai.
Hawatusikilizi.
Wanatudharau.

Kiukweli nawachukia tu
We umeshakuwa na Wanaume wangapi wa zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…