mh pole kaka
njoo kwangu ntakupenda
dahh pole mshkaji...bt jchek unakosea wap..uenda unakosea somewhre bila kujijua ..ata km unaprovide vyooooooooote bt kuna vtu tunaviitaji...ebu jchek fresh..uenda unakosea sehemu....
najua ni wewe si kaka yako wala nani.....:A S-baby:
Duh hv inakuwaje mke wa mtu unadanganya hujaolewa? Unakuwa na mategemeo gani hapo mbeleni? Kama unamtamani si useme tu ndio lakini nimeolewa! Ah masikini pole kaka kwa maumivu!
Rose napenda ulivyojitolea kumfariji shemeji!
Dada Rose..Nitamshawishi aingie hapa akutafute..maana si mimi.
I am <25yrs...not yet married na nikisikia habari kama hizi ndo namuunga mkono mwanaFA kusema Bado nipo nipo sana!!!
Nilikuwa namtania kwamba sina pesa ya kumletea mbuzi..(sisi wachaga, kama mdogo atatangulia kuoa kabla ya kaka yake, basi itabidi umpelekee mbuzi)...ndipo akanipa stori yake.
Tumekuwa tukimtania sana kwamba siku moja tutamfungia ndani na mdada na iwe ndoa ivo...!!!
But after this..reallly...unamshauri mtu aoe kweli!???
Secondly, sidhani kama ana shida sna..labda umuone ndo umthaminishe...labda unaweza muonesha wat he doesn't see with his naked eyes!!!
dah
aongee na wakubwa /wenye busara then awaelezee jins anavyoishi na wasichana wake ...
watatambua tatizo lake...
ok..wakubwa wanaogopa kumwuliza asijekurupuka kuingia kwenye ndoa...kisa walim-pressure sana!
Kuna wakati mama alimuuliza sana, mpaka yeye mwenyewe mama akajishtukia (only that she didnt know the truth!)..so, now wanaogopa kumuliza sana asije ona wanamlazimisha...!
wewe huwezi kumsaidia!??
Hehehe hamna kitu broh....via mobile ilikua inazingua!!Nkiki monomae...nimekosea!??
Well he should just take it easy asijistress na swala la kwamba hatokaa aoe au kupata mtu atakaempenda kweli na kua mwaminifu kwake.Nashangaa kwamba alikutana na binti nje alafu kabla hata hawajarudi nyumbani na kupata kujua background yake kidogo akaanza kufikiria maswala ya ndoa (kama sijaelewa tofauti). Hiyo inaonyesha anavyopenda haraka na asivyochelewa kukimbilia ndoani...kitu ambacho sio kibaya kama angekua amekutana na wasichana wakweli na waaminifu.Afungue moyo wake na ajiruhusu kupenda akitokea mtu atakaeushawishi moyo wake ufanye hivyo....ila sasa hivi ajitahidi sana kupata intel ya binti kwa kupitia binti mwenyewe na pia watu wengine wanaomfahamu.Maana kuna watu hata hua hawaulizi past ya mtu ilikuaje...wanadhani sio muhimu ila ni vizuri kila mtu akijua kwamba TODAY MAKES TOMORROW....na hata kama ya kale yalishaachwa bado ni muhimu kujua ni mtu wa aina gani unadeal nae.Kama mahusiano yake ya nyuma na kama aliwahi kuolewa ajue kwanini dada aliachika ili ajue wapi inabidi awe mwangalifu nae...au kama yeye ndie alieichoka ndoa pia ajue kwanini ili asifanye makosa kama ya mwenzake aliepita.All in all aache kusoma hatooa wala kupenda tena...hivyo viapo vitamfanya hata akikutana na mtu ambae ni genuine na akatokea kumpenda kweli ampite.pouer sis...kama vipi ebu comment kaka afanyeje sasa?!
Masikini hii ni sawa na wale wanaume wanaorubuni bila kusema kama wameoa au la! Pole sana Mentor ingawa limemkuta kaka yako naamini nawe pia limeitikisa imani yako juu ya mapenzi na ndoa pia. Maana kama mke wa ndoa anawezakudanganya hajaolewa wewe utapata wapi moyo kuwa mkeo wewe hatofanya hivyo?Jamani hv wanajamii hakuna researches zinazoweza kufanyika kwenye taasis hii angalau kuangalia trends za cheating, historical development, perceptions e.t.c pengine tunawezadevelop some indicators au causes za mvurugano huu!Imagine huyu dada huwa namwonaga mara kwa mara..juzi ndo nimejua ukweli. Sote tulimfahamu, aliporudi bongo afta samtym tukasikia ana mme..ambacho hatukujua ni alikuwa keshaolewa longtym, katudanganya ati kaka yetu alikuwa anampotezea muda, damn!!!!!!walisema wanaume ni wabaya..but i dont know what to say of her.
Well he should just take it easy asijistress na swala la kwamba hatokaa aoe au kupata mtu atakaempenda kweli na kua mwaminifu kwake.Nashangaa kwamba alikutana na binti nje alafu kabla hata hawajarudi nyumbani na kupata kujua background yake kidogo akaanza kufikiria maswala ya ndoa (kama sijaelewa tofauti). Hiyo inaonyesha anavyopenda haraka na asivyochelewa kukimbilia ndoani...kitu ambacho sio kibaya kama angekua amekutana na wasichana wakweli na waaminifu.Afungue moyo wake na ajiruhusu kupenda akitokea mtu atakaeushawishi moyo wake ufanye hivyo....ila sasa hivi ajitahidi sana kupata intel ya binti kwa kupitia binti mwenyewe na pia watu wengine wanaomfahamu.Maana kuna watu hata hua hawaulizi past ya mtu ilikuaje...wanadhani sio muhimu ila ni vizuri kila mtu akijua kwamba TODAY MAKES TOMORROW....na hata kama ya kale yalishaachwa bado ni muhimu kujua ni mtu wa aina gani unadeal nae.Kama mahusiano yake ya nyuma na kama aliwahi kuolewa ajue kwanini dada aliachika ili ajue wapi inabidi awe mwangalifu nae...au kama yeye ndie alieichoka ndoa pia ajue kwanini ili asifanye makosa kama ya mwenzake aliepita.All in all aache kusoma hatooa wala kupenda tena...hivyo viapo vitamfanya hata akikutana na mtu ambae ni genuine na akatokea kumpenda kweli ampite.