Navy kenzo watakua wame copy?

Navy kenzo watakua wame copy?

Walec

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,364
Reaction score
3,401
Wakuu habar za midaa...

Moja kwa moja,leo nilkua namchek dancer mmoja wa south anaitwa Zodwa Wabantu huku youtube,nafkri weng mtakua mnamjua

Sasa baada ya kumchek nikaletewa suggestion pale chini,nikaona kuna wadada nao wana dance.

Baada ya kuclick ghafla nikaskia nyimbo wanayo cheza kama fella ya navy kenzo,nikastuka kwamaana ile nyimbo imeimbwa kwa lugha ya kigen..

Wakuu sasa nikajiulza inaamna navy kenzo wame sampo beat yaa huu wimbo?

Kwa bahat mbaya sijajua jina la huo wimbo wala msanii alie imba..

Angalien wakuu na nyinyi muone je ni kwel beat ya fella itakua ime chomolewa humu



Fella ya navy kenzo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom