Hiyo nyumba washaitumia watu wangapi kabla yangu?
Ina mvuto kwa Nje?
Kwa ndani je?
Sababu ya kutokua na mtu mpaka sasa ni nini?
Imekua ikitumika zaidi mlango upi kuingia na kutoka? Wa barazani au wa uani?
Nawe kubali ushauri huo wa bure hata kama ww ungekuwa unatafuta nyumba unafikiri hiyo information ingekusaidia kweli au ingefuatiwa na maswali ya ziada? Kwani kujieleza vzr huwezi?