Nauza

feis buku

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
2,341
Reaction score
677
tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!!
 
hujasema eneo gani,kiasi gani,picha ya nyumba una hati ya kiwanja au?naona watoto wameingia jf
 
Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu!
 
kweli weye wa ki- feis buku feis buku! Eti "unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo"! ama kweli....
 
Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu!
huo ni mtazamo wako! kaa pembeni wenzio wanunue!
 
Moderator fanya kazi yako,block hii!
 
Duh feisi buku mwanzoni nimestuka kusoma ww na rafiki yako mnauza, pumzi imetulia baada ya kugundua kuwa ni nyumba
 
Kule facebook demu unamjua leo mchana,
Usiku tayari ushamaliza mambo.
Huyu anafikiri na hapa hivyohivyo!
 
kwani unapigaga ngapi ndio unakuwa bwiii?
ili nicheki mfuko nisiingie kichwakichwa?
 
Dada Feis, achana na hao vijana siyo wanunuzi; hebu ni-pm akaunti namba yako hapa nikuingizie pesa fastafasta nijikamatie mjengo!
 
Anauza yeye na Rafiki yake. na anauza Fasta Fasta.

ushawahi kusikia usemi wa kiswahili ktk Nyumba kuna unyumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…