Haaaa kumbeKumbe upo Arusha, ndo maana bei ya Kitalii
Hiyo bei ni kubwa mno kwa kipindi hiki lakini utapata tuNauza PS3 used bei 450,000/= ila ipo katika hali nzuri na pia ina game sita FIFA 18, GTA na n.k nipo Arusha kwa aliye serious anicheck PM kwa mawasiliano