Kiguu na njia
Member
- Dec 25, 2010
- 95
- 21
Nauza dengu nyekundu ipo Dodoma, ni zaidi ya tani mbili (2), Anayenunua ani-inbox ili tupatane bei..! Haina mchanga wala takataka.!
Kwa mara ya kwanza Boflo yupo seriousNenda Dar town kwa wahindi ndio walaji wa Dengu