Nauza Wifi Bulb Camera

Mzigo wa kamera bado upo wa kutosha wakuu
Kwa wahitaji Naomba tuwasiliane 0718295182
 
Ukiwa na Camera eneo la kazi au nyumbani inakupa uhakika wa kumjua anayekuharibia hata ukiwa mbali
 
Kamera ina wifi inayojitegemea
Kinachohitajika ni kifaa kitakachoiwezesha camera kupata internet, iwe router au simu

haijalishi uko maeneo gani, kikubwa kuwe na Router yenye data
camera itawezeshwa kupata internet
na Utaweza kupata matukio ukiwa mbali kupitia apps utakayoifadhi kwenye smartphone yako
Kama Sina router nawezaje kuona matukio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom