bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,977
Pump hii nimeinunua dukani nimeitumia kidogo kwa sasa nataka niiuze.bei ni sh 300,000/ maongezi yapo kidogo.Inarusha maji kwenye bomba la inch 3.
Mashine iko Dar,maeneo ya Sinza.
Karibu
Mashine iko Dar,maeneo ya Sinza.
Karibu