Kaka siku hizi wameboresha huduma
vocha zipatikana kwa kutumia mitandao mingine
· M-PESA *150*00#
4. Lipa kwa Mpesa
3. Chagua kwenye orodha
2.Manunuzi
9.Zaidi
2.TTCL Voice
1. Weka namba ya Account
─ ingiza namba ya Simu 0738 xxx xxx
─ Weka kiasi
─ Weka namba ya Siri
· AIRTEL MONEY *150*60#
5. Lipia bili
2. Chagua kwenye orodha
3. Manunuzi
6.TTCL
─ Ingiza kiasi cha Pesa…xxx…
─ Ingiza namba ya kumbumbu 0738 xxx xxx
─ Ingiza namba ya siri kulipia
· Tigo Pesa *150*01#
2 Tigo shop- Muda wa maongezi
7. Mitandao mengine
4.TTCL
1. Weka kumbukumbu namba
─ 0738 xxx xxx
─ Ingiza kiasi
─ Ingiza namba ya siri
Ok