Nauza Viwanja

Nauza Viwanja

sema bei na ukubwa wake ni ngapi kwa ngapi?.au dalali nini huna airtime za kutosha
 
sema bei na ukubwa wake ni ngapi kwa ngapi?.au dalali nini huna airtime za kutosha

Mkuu Ramani hio Viko vinne na ni vysngu mkuu sio Dalali
ImageUploadedByJamiiForums1361456656.881002.jpg
 
Sema bei ikoje ,nimechoka kukaa mabatini na mimi nije nyegezi
 
Mwanza nako kumbe kuna bei? 15mx25m naona kama vidogo kwa bei inayotajwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom