Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

NYUMBA INAUZWA MWANANYAMALA B
.
•(Ipo karibu kabisa na Makutano ya barabara inayotoka Tandale Vs Mwananyamala)
.
•(Jirani ya nyumba hii, yaani nyumba inayofuata baada ya hii....tayari kumenunuliwa na kumeshaanza kujengwa Apartments za frame za biashara ya ghorofa 2)
.
Ina ROOM : 10
INAFAA KUJENGA APARTMENTS
INA ENEO KUBWA
INA FRAME MBELE
.
IPO KARIBU KABISA NA BARABARA
.
Ukubwa : 410 Sqm
.
BEI : TZS. 120M
.
INA DOCUMENTS ZOTE HALALI
.
Piga : 0717 650800

View attachment 2350031View attachment 2350032View attachment 2350033View attachment 2350034View attachment 2350035View attachment 2350037View attachment 2350038View attachment 2350039View attachment 2350040
Siku hizi NYUMBA zinadhalilishwa sana. Mkuu sema tu kiwanja chenye jengo chakavu kinauzwa.

Kila la kheri kiongozi wangu..... kwa bei hiyo na maeneo hayo panahitaji washua wenye mpunga wao wapafanyie uwekezaji....

Sie tunaotaka vinyumba vya kujibanza tuelekeze akili zetu Bunju na Chanika
 
Mtaa wa ******* sana.

Barabara ile ukitoka Tandale unaingia Mwana'nyamala kuna mtu wa Mbuyu mkubwa halafu pembeni yapo makaburi.

Panaitwa Ujiji/Manjunju.
Khaaa... We jamaa unamharibia mkuu biashara yake ujue....
 
.
•(Ipo karibu kabisa na Makutano ya barabara inayotoka Tandale Vs Mwananyamala)

HAKUNA barabara kati ya Tandale na Mwananyamala kwa sababu kuna bonde la kufa mtu la tope na mianzi na vijito (mangroove swamp) kuanzia Mkwajuni, Mpaka Makanya mpaka Tandale.
 
BIG NO
.
Huyafahamu hayo maeneo mkuu, ama umeondoka Dsm miaka mingi iliyopita
 
HAKUNA barabara kati ya Tandale na Mwananyamala kwa sababu kuna bonde la kufa mtu la tope na mianzi na vijito (mangroove swamp) kuanzia Mkwajuni, Mpaka Makanya mpaka Tandale.
Kama hujui kaa kimya,
Barabara ipo tena ya lami. Inaanzia kituo cha chama kwenye "sheli mpya" mpaka manjunju pale kulikuaga na driving school ya Andikwiba. Ndo hapo opposite kuna makaburi na Mbuyu mkubwa.

Hiyo Swamp unayosemea pale ni mto Ng'ombe ambao umewekewa daraja.

By the way hata magomeni baada ya makaburi ya somanga kabla ya kona ya Idd Azan pia kuna kibarabara cha kupita na gari dogo kuja kutokea Mwananyamala Shule karibu na Mwananyamala A.
 
VERY TRUE
 
Hii biashara inaonyesha kabisa hiyo nyumba haina thamani yoyote na bei yake halisi haijulikani.
Mfano=
July 11 nyumba ilikuwa bei 450
August 24, bei million 350
October Million 300 ,mwezi huwo imeshuka Million 250 , ikifika January inaweza fika Million 80 au chini zaidi.
 
Sawa analyst.
Naona unaleta usomi sehemu isiyohitaji usomi, HAPA PANAHITAJIKA PESA TU MZEE SIO MBAMBAMBA.....JF bhana sometimes inakuhitaji kuwa mvumilivu sana aisee dah...[emoji3]
 
Hii biashara inaonyesha kabisa hiyo nyumba haina thamani yoyote na bei yake halisi haijulikani.
Mfano=
July 11 nyumba ilikuwa bei 450
August 24, bei million 350
October Million 300 ,mwezi huwo imeshuka Million 250 , ikifika January inaweza fika Million 80 au chini zaidi.
Mkuu, May ilikuwa 600M.
Kwq hiyo bei tena kibamba 3km toka lami, asahau

Back
Top Bottom