Nauza viwanja mil 3

Nauza viwanja mil 3

dbelive

Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
26
Reaction score
3
Nauza viwanja vyenye ukubwa wa futi 55 kwa 42, vipo Nyeburu ni katikati ya Gongo la Mboto na Chanika na umbali toka barabara ya lami (main road) ni 0.7 km. Kuna umeme na huduma za kijamii, namba ya simu 0714 11 44 53.
 

Attachments

  • 1449823145642.jpg
    1449823145642.jpg
    50.5 KB · Views: 254
  • 1449823166166.jpg
    1449823166166.jpg
    53.7 KB · Views: 236
Naomba niulize,,maji yake yanatoka wapi na umeme uko umbali gani?
Nikitaka eka moja ni bei gani
 
havina tatizo?
nitakupigia tafadhali
 
Back
Top Bottom