Nauza viwanja maeneo ya Vikindu

flonze

Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
5
Reaction score
0
eneo: Vikindu (mbele kidogo na mbagala rangi 3).

Ukubwa wa kiwanja: 50 x 70 feets.

Price: 9.5million

contact:
 
eneo: Vikindu (mbele kidogo na mbagala rangi 3).

Ukubwa wa kiwanja: 50 x 70 feets.

Price: 9.5million

contact:

Wacha uongo, vikindu ni mbali sana from Mbagala Rangi 3, around 20km
 
feet.....metre!?
Kuwa makini na aina ya vipimo, unaweza ukaambiwa futi kadhaa kumbe inamaanishwa hatua kadhaa tena za mtoto mdogo!
my advice! opt for metres tena ikiwezekana kanunue kipimo kipya dukani
 
samahani vikindu sehemu gani na je ni along barabara ya kilwa road au?
 
Wacha uongo, vikindu ni mbali sana from Mbagala Rangi 3, around 20km

uongo kutoka kariakoo hadi vikindu ni 23km hicho kipimo chako cha kutoka mbagala hadi vikindu 20km ni kibovu angalia katka gps utajua umbali wake
 
Jamani nauza Shamba Maeneo ya Vikindu Manyani zipo Ekari 9 kwa shilingi milioni 35 yeyote atakae kuwa interested ani inbox au email threecat34@hotmail.com simu namba 0718403409 ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…