Sasa mbona usalama wa mteja utakua mdogo, coz hati miliki ya serikali ya mtaa haina nguvu yoyote kulinda umiliki wa Mtu ,Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa
VIWANJA VYOTE UMEME NA MAJI YAPO JIRANIMBEZI MSAKUZI MAKABE 18×22 KIWANJA KINA NYUMBA KUU KUU YA VYUMBA 3 BEI MLN 20
KILUVYA GOGONI 22×25 BEI MLN 9
KILUVYA KWA KOMBA 20×20 MLN 6
KILUVYA KWA SUMAYE 40×40MLN 18
KILUVYA KWA SUMAYE 20×20 BEI MLN 6

Kwani anaemlipa dalali ni mwenye Eneo au Mteja?Kuna dalali mmoja alitupeleka sehemu na kutaja bei yake.
Tukamkuta mhusika pale si akataja bei pungufu kwa asilimia 20, ikabidi tufate ya mwenyeji dalali akakosa kwa tamaa zake, akaishia pewa 20,000
Ina Vyumba 22 zote zina Self Contained,TV na AC
Ina Ukumbi wa Sherehe Mkubwa
Ina Sehemu ya Gym
Ina Ofisi na Servant Quarter
Ina bar na Ukumbi wa Bar mkubwa
Ina Visima vya Maji na Generator
Eneo lote Lina ukubwa wa Ekari 1 na limezungushiwa fence
KILUVYA GOGONI 25x22 MLN 9
KILUVYA KWA KOMBA 20x20 MLN 7
VIWANJA VYOTE VIPO MITAA ILIYOCHANGAMKA
BARABARA ZINAFIKA MPAKA SITE