Nauza vitu vya ndani kwa bei chee

Nauza vitu vya ndani kwa bei chee

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Habari guys! Naenda nje ya nchi kupiga mishe huko nauza vitu vyangu vya ndani

*.Kitanda+godoro+net ya kisasa 5*6 nilinunua vyote kwa 435000
*.Dish la dst nilinunua 79000
*.Sofa la watu 3 na la mmoja nilinunua 700,000 mwaka jana
*.Zuria la manyoya nilinunua 250,000
*.Jiko la gesi plet 3 na mtungi wake nilinunua 200,000
*.Microwave 150000
*.Jiko la umeme la kuchomea nyama
*.Meza ya tv
*.Sabwoofer

Kodi yangu inaendelea mpaka mwezi july 5 mwaka huu hivyo nitakuachia na gheto na kukukabidhi kwa mwenye nyumba, chumba ni master kodi yake ni elfu sitini kwa mwezi.

Location ni Nkuhungu Jijini Dodoma

Vitu vyote hivyo utanipa milioni moja na laki 3 tu nakuachia kila kitu pamoja na chumba.

Aliyetayari tafadhari AniPM namba yake akivione vitu pamoja na room au waweza Piga kwa namba ya simu 0719760317

Picha sijaweza kuweka maana nipo mbali na vitu so ukipiga hiyo namba huyo mtu atakupeka ukavione
 
Hamna haja ya kutueleza sababu ya kuuza mkuu maisha yana mengi sana acha tu......kuvileta Dar vip?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sasa mikwa unauza au unatueleza gharama ulizotumia kununua hivyo vitu ?

Mkuu ungeandikavtu unauza vitu fulani kwa bei fulani ungeeleweka......
Nilikuwa najaribu kuweka ulinganifu wa bei ya kununulia na ninayouza kwa wateja pia ili kuleta taswila kwa mteja vitu ni vya namna gani na thamani yake ipoje
 
Ungetuwekea picha ya kila kimoja na bei yake namna hii huwezi kupata wateja maana kuuza bila picha ni sawa na kununua hewa
 
Weka bei ya kila kimoja maana unaweza kupata mteja wa item moja.. Siyo lazima mtu anunue vyote wkt vingine anavyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom