Nauza vitu Bahama bei chee

Edinam

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
97
Reaction score
38
Nauza vitu vifuatavyo bei Chee k abisa.Nipo DSM
Sofa ya watu wa tatu na ya watu wawili 170,000/, kabati la vyombo unaweza akiweka TV na redio pia 170I'mView attachment 1185266,000/- kitanda na godi to lake futi nne 150,000/ TV choo mchukue 24 HITACHI 70,000/- Radio Cassette na DVD player 100,000/- simu i-smart Haina Betri na inacreki kidogo kwenye kioo 70,000/-
Simu LG Haina Betri ni mpya 60,000/-
Simu iPhone 4 sijui tumia muda mrefu inawaka network ndo inasumbuaa 40,000/- Sony microphone 40,000/- Wi-Fi airtel modemu new 40,000/- na ya vodacom pia 30,000/- modemu ya kawaida ya vodacom 15,000/- . Flat screen computer monitor 50,000/- chogo 30,000/- CPU 50,000/- mpya ila Haina nyaya zake nyingine 30,000/- ya kutengeneza kidogo. Printer ndogo 40,000/- Haina wino. Simu 0717441943/0787138571/742221698 karibuni nipo Chanika Dsm
 

Attachments

  • IMG_20190819_121648.jpg
    141.4 KB · Views: 18
Vp Watu wa bank wanajua kama unauza vitu vyao
 
Mkuuh icho kitv kichogo nina buku tano vipi hapo? hiyo nataka nimpelekee mwana kijijini.
 
DAh hivi ukihama navyo nyumba yakupanga baba mwenye nyumba anakufukuza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…