Nauza viti viwili vya kunyolea

MtaaKwaMtaa

Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
22
Reaction score
10
Kwema wana Jamii forums?
Kama kichwa cha habari kinavyojileza
Nauza viti viwili vya kunyolea vipo katika hali nzuri sana bei ni 450,000 kwa vyote.
Kwa mawasiliano ni PM.
 
Jaribu kutafuta watu wa kanda ya ziwa utafanikiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…