Mlinzi mkuu wa nyerere hard copy nauzaNitafutie Assault in Mogadishu au Mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere. Kuna teni limezagaa zagaa.
Infact watu hupendelea kusoma hardcopy kuliko softcopy.
Mwenyewe Hapa ninavyo mtu akihitaji analipia bando tu nampatia, smt ingia pdf drive unavipata ,pia Kuna many telegram groups Zina self help books watu wanavipakia bure na unapakua, waza Yule anaviweka kwa bando lake na wewe unapakua bure bila ya kulipa kitu labda bando lako tu.Hivyo vyoye si vinapatikana online kwa bando ya buku 3 tu?
Futa hii mkuu.Mwenyewe Hapa ninavyo mtu akihitaji analipia bando tu nampatia, smt ingia pdf drive unavipata ,pia Kuna many telegram groups Zina self help books watu wanavipakia bure na unapakua, waza Yule anaviweka kwa bando lake na wewe unapakua bure bila ya kulipa kitu labda bando lako tu.
Elimu ama maarifa hayatakiwi kuwa ghali kiasi icho, knowledge is free it's up to you to give attention, desire, dedication, committed, hungry, thirsty ili ubadilishe hard copy iwe soft copy , yaani elimu bana kujifunza kitu ni wewe tu , Wala haitakiwi ugharimikie Chochote, tajiri Elon musk anaajiri software engineer hataki uwe na cheti cha degree anataka tu utume kazi ambayo umeshawahi fanya so hata Kama umejisomea mtandaoni Ila unazo skills anakuajiri
Mwenyewe Hapa ninavyo mtu akihitaji analipia bando tu nampatia, smt ingia pdf drive unavipata ,pia Kuna many telegram groups Zina self help books watu wanavipakia bure na unapakua, waza Yule anaviweka kwa bando lake na wewe unapakua bure bila ya kulipa kitu labda bando lako tu.
Elimu ama maarifa hayatakiwi kuwa ghali kiasi icho, knowledge is free it's up to you to give attention, desire, dedication, committed, hungry, thirsty ili ubadilishe hard copy iwe soft copy , yaani elimu bana kujifunza kitu ni wewe tu , Wala haitakiwi ugharimikie Chochote, tajiri Elon musk anaajiri software engineer hataki uwe na cheti cha degree anataka tu utume kazi ambayo umeshawahi fanya so hata Kama umejisomea mtandaoni Ila unazo skills anakuajiri
ivo vitabu vyote vipo apa free: Maktaba Sauti - Apps on Google Play vingine vimefanyiwa mpaka audio booksKnowledge isn't free.
Vitabu vinaweza kuwa bure, lakini maarifa hayawezi kuwa bure.ivo vitabu vyote vipo apa free: Maktaba Sauti - Apps on Google Play vingine vimefanyiwa mpaka audio books
Yeah Sure, you have to pay attentionKnowledge isn't free.
punguza siasaVitabu vinaweza kuwa bure, lakini maarifa hayawezi kuwa bure.
Nashukuru, anaposema knowledge isn't free labda Ile hustle ya mtu kuitafuta ndio inabidi atoe attention na Ile loneliness anayokuwa nayo. Anaposema ivyo wakati Kuna mtu anaweza akakomaa akawa programmer mzuri mno ,unaona hata Elon musk anawahitaji hakuna haja ya kuwa umesomea chuo Fulani ama unamiliki chetiivo vitabu vyote vipo apa free: Maktaba Sauti - Apps on Google Play vingine vimefanyiwa mpaka audio books
punguza siasa
una vitabu vya watoto mfano Grade 1WhatsApp 0737317870 au jambojambo633@gmail.com
1. Richest man in Babylon 20,000.
2. The Law of success 18,000.
3. Side hustle 45,000.
4. The magic of thinking Big 30,000.
5. How to handle difficult people 25,000.
6. Rich dad, poor dad 25,000
7. The subtle art of not giving a f* 45,000.
8. Talk like Ted 50,000.
9. Eat that frog 35,000
10. Law of success By Napoleon 25,000.
11. Most expected job interview 20,000.
12. The 4 agreements 35,000.
13. My story Mohamed bin Rashid 50,000.
14. My life, Mzee Rukhsa 55,000.
15. I can, I must I will 50,000.
16. Mlinzi mkuu wa Nyerere 30,000.
17. Think & Grow rich 25,000.
18. Mkimbizi 30,000.
19. Ikigai 30,000.
20. Atomic Habits 30,000.
21. Win friends and influence people 35,000.
22. The Alchemist 35,000.
Unahitaji kitabu gani?
1.The diary of a CEO BY (STEVEN BARTLETT)
2.Think like billionaire become billionaire BY SCOT ANDERSON
3.The big picture BY BEN CARSON
4.Take the risk BY BEN CARSON
5.The road ahead BY BILL GATES
6.The joy of sex BY DR.ALEX COMFORT
7.Ego is the enemy BY RYAN HOLIDAYS
8.what is everybody is say BY JOE NAVARRO
9.Emotional intelligence BY DANIEL COLEMAN
10.Understanding your potential BY MYLES MUNROE
11.Non violent communication BY MARSHALL ROSENBERG
12.Body language BY ALLAN PEASE
13.Crucial conversation BY KERRY PETERSON, JOSEPH GREEN, RON MC MILLAN AND SWITZLER
14.The leader who had no title BY ROBIN SHARMA
15.Start with why BY SIMON SINEK
16.The happiness trap BY RUSS HARRIS
17.The courage to be disliked BY ICHIRO KISHIMI AND FUMITAKE KOGA
18.44 Ideas for better conversation everyday BY MIKAEL KROGERUS AND ROMAN TSCHAPPLER
19.The 21–irrefutable laws of leadership BY JOHN C. MAXWELL
20.Who moved my cheese BY DR.SPENCER JOHNSON
21.The mountain is you BY BRIANNA WIEST
22.The psychology of money BY MORGAN HOUSEL
23.Retire young retire rich BY ROBERT KIYOSAKI
24.Cash flow quadrant BY ROBERT KIYOSAKI
25.Rich dad guide to investing BY ROBERT KIYOSAKI
26.As a man thinketh BY JAMES ALLEN
27.The almanack of naval BY ERIC JORGENSEN
28.Love yourself pay yourself first BY DR ABIB OLOMITIYE
29.Long walk to freedom BY NELSON MANDELA
30.Dont believe everything you think BY JOSEPH NGUYEN
31.Gifted hands BY BEN CARSON
32.The power of your subconscious mind BY JOSEPH MURPHY
33.Every day hero manifesto BY ROBIN SHARMA
34.Who will cry when you die BY ROBIN SHARMA
35.How to talk to anyone BY LEIL LOWNDES
36.How to read a person like a book BY GERRARD I.NIERENBERG AND HENRY H .CALERO
37.13–Things mentally strong people do not do BY AMY MORIN
38.The first minutes BY CHRIS FENNING
39.The art of laziness BY LIBRARY MINDSET
4O.Getting things done BY DAVID ALLEN
41.Ikigai BY HECTOR GARCIA AND FRANCESC MIRRALLES
42.Man's search for meaning BY VICTOR E.FRANKI
public opinion nyingi ni propaganda tu hazina ukwel, mfano hii iishue ya cheti kiuhalisia ni muhimu sana, mpaka leo sjawahi kutana na ofisi ama shirika hawaombi cv lazima uprove ulisomea icho kitu, online unatakiwa ujue kuchuja propagandaNashukuru, anaposema knowledge isn't free labda Ile hustle ya mtu kuitafuta ndio inabidi atoe attention na Ile loneliness anayokuwa nayo. Anaposema ivyo wakati Kuna mtu anaweza akakomaa akawa programmer mzuri mno ,unaona hata Elon musk anawahitaji hakuna haja ya kuwa umesomea chuo Fulani ama unamiliki cheti