NAUZA VIOO NA HOUSING ZA LAPTOP

NAUZA VIOO NA HOUSING ZA LAPTOP

jT0078

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
380
Reaction score
314
Kama Laptop yako.. -imevunjika kioo
Imavunjika housing
Ilete tubadilishe
Ilala - Dsm
0767953873
 
Yangu haijavunjika ila nataka kui upgrade screen
 
Mkuu habari. Nina MacBook Pro. Kioo kilipata shida nikabadilisha. Sasa ina shida moja, nikiwasha kioo hakionyeshi mpaka niwe kama naifunika na kufunua. Nijuze kama unaweza kunisaidia hili tatizo
 
Mkuu habari. Nina MacBook Pro. Kioo kilipata shida nikabadilisha. Sasa ina shida moja, nikiwasha kioo hakionyeshi mpaka niwe kama naifunika na kufunua. Nijuze kama unaweza kunisaidia hili tatizo
Nichek 0767953873
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom