T tawiri poultry ltd Member Joined Dec 19, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Dec 19, 2013 #1 Pata vifaranga wa bata bukini na bata mzinga wanaotaga pia wanapatikana niko moshi karibuni 0785908103
Pata vifaranga wa bata bukini na bata mzinga wanaotaga pia wanapatikana niko moshi karibuni 0785908103
Bethania JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 339 Reaction score 130 Dec 19, 2013 #2 Taja bei umri wa hao Bata
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Dec 19, 2013 #3 Bata msumeno ndo nawasikia leo
K Kagalala JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 2,403 Reaction score 1,134 Dec 19, 2013 #4 Wanapatikana wapi na bei gani. Na je unao vifaranga wa kuku wa kienyeji pia?
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Dec 19, 2013 #5 --- taja bei ----wapi unapatikana cc kitomari
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Dec 19, 2013 #6 Tangazo halijakamilika ingawa una bidhaa nzuri
T tawiri poultry ltd Member Joined Dec 19, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Dec 20, 2013 Thread starter #7 Bethania said: Taja bei umri wa hao Bata Click to expand... nina wa mwezi 1 miezi 2 mpka mitatu na wanaotaga
Bethania said: Taja bei umri wa hao Bata Click to expand... nina wa mwezi 1 miezi 2 mpka mitatu na wanaotaga
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Dec 20, 2013 #8 kitomari2 umewatapeli watu humu jamvini halafu unarudi tena na Id mpya kabisa jamani tuwe waangalifu na huyu cc😡Poultyfarm nade tawary Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kitomari2 umewatapeli watu humu jamvini halafu unarudi tena na Id mpya kabisa jamani tuwe waangalifu na huyu cc😡Poultyfarm nade tawary
T tawiri poultry ltd Member Joined Dec 19, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Dec 20, 2013 Thread starter #9 Coturnix said: kitomari2 umewatapeli watu humu jamvini halafu unarudi tena na Id mpya kabisa jamani tuwe waangalifu na huyu cc😡Poultyfarm nade tawary Click to expand... nafkiri una kazi za kufanya kazi yako ni kuaribu matangangazo ya watu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Coturnix said: kitomari2 umewatapeli watu humu jamvini halafu unarudi tena na Id mpya kabisa jamani tuwe waangalifu na huyu cc😡Poultyfarm nade tawary Click to expand... nafkiri una kazi za kufanya kazi yako ni kuaribu matangangazo ya watu
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Dec 20, 2013 #10 tawiri poultry ltd said: nafkiri una kazi za kufanya kazi yako ni kuaribu matangangazo ya watu Click to expand... rudisha hela za watu , acha utapeli ...Arusha mji mdogo utakamatika tuu Wl umejileta mweyewe
tawiri poultry ltd said: nafkiri una kazi za kufanya kazi yako ni kuaribu matangangazo ya watu Click to expand... rudisha hela za watu , acha utapeli ...Arusha mji mdogo utakamatika tuu Wl umejileta mweyewe
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,044 Dec 20, 2013 #11 Huyu jamaa inawezekana ndiye aliyewatapeli humu watu.Hivyo kuweni macho.
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 Dec 20, 2013 #12 Naisi ndiye mbona mkaliii
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Dec 25, 2013 #13 Tapeli kitomari
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Dec 25, 2013 #14 Tapeli kabisa huyu