MUKONZI NA BINO
Member
- Nov 20, 2013
- 27
- 18
Habari zenu wakuu..Nina vifaa vya ujenzi(used) nilinunua toka UK kwa ajili ya biashara ya kukodisha. Kwa bahati mbaya yule aliyekuwa asimamie biashara hiyo alitangulia mbele ya haki, hivyo niliamua kuviuza vifaa vyote.
Vifaa ambavyo nauza ni vifuatavyo:
1) Cement mixer (used from UK), bei yake
ni Tsh 4.8m mazungumzo pia yapo.
2)PLATE-COMPACTOR-HS60-WHEEL-NEW-DESIGN-MAN. Ni mpya kabisa na inatoka UK pia. Bei yake ni Tsh 2.1m na mazungumzo yapo pia.
3) Petrol concrete Vibrator (poker) machine (used from UK). Bei yake ni Tsh 850,000/= mazungumzo yapo.
4) Welding machine The Wolf Pro 250 ARC(brand new). Bei yake ni Tsh 750,000/= mazungumzo yapo pia.
Technical specification:
• Turbo fan cooled
• 60 amps-250 amps welding current range
• Fully variable power settings
• Thermal overload protection
• Operates from a 230v single phase supply
• Also operates from 400v (2 phases) supply
• Accepts welding rod diameter: 2mm-5mm
• Fully portable wheel mounted
• Weight: 23.5Kg
5) Heavy duty drill machines (used from UK). Zipo 6 na bei yake kila moja ni Tsh 720,000/= mazungumzo yapo pia.
6) Portable tool transformer (used from uk) zipo 2 na bei yake ni Tsh 300,000/= kwa moja, mazungumzo yapo pia.
Kwa ambaye atakuwa interested na vitu hivyo basi tuwasiliane zaidi kwa PM.
Karibuni.