mbona unauza bei kama ya dukani, wakati mtu akifilisika anatakiwa kuuza vitu kwa bei ya kutupaNauza Vifaa vya cafe kama ifuatavyo:-
1 meza za plastic idadi 4 Bei elf 40 kwa kila moja.
2 Viti vya plastic vile vigumu idadi 12 Bei Elf 12 kwa kila kimoja
3 Mtungi wa Gesi lake oil ule mkubwa Bei Laki moja
4 Jiko la Gesi Kubwa la kukaangia chips Bei Laki 4.
5 Meza Za Mbao kubwa idadi 3 Bei elf 25 kwa kila moja
6. Jiko La mishkaki Kubwa Bei elf 80
7. Creti Za Pepsi idadi 10 na chupa zake Bei elf 10 kwa kila moja
Dar - Mtoni
0773896708
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona unauza bei kama ya dukani, wakati mtu akifilisika anatakiwa kuuza vitu kwa bei ya kutupa
hapana ni usedVyote ni vipya?
Maisha tuuKwanin unauza nyenzo za biashara mkuu?
Vitu used unauza kwa bei ya dukani hebu use siriaz kdgNauza Vifaa vya cafe kama ifuatavyo:-