Nauza gym kit aina ya trojan horse. Unaweza kufanya mazoezi ya kifua tumbo mkono na miguu,
Kuna vyuma vyenye total weight ya 40kgs, imetumika for 2 months ipo bado kwenye excellent condition nauza kwa 400000ths full kit.
dar es salaam. Karibuni mjenge mwili