unasema 45 elfu
Boss Tsh.45000
Imetumika mwezi 1 tu.
Mwe...Vifaa gani unavyo?
Ingekuwa vema sana ungeweka list ya vifaa vyote na picha zake.
Je kama unauza dildo za kie electronics si matusi hayo?
Anhaa! Ndio nimeona instagrama yako. Kumbe ni nyie?
Nimeahanunua baadhi ya bitu hapo.
Viko poa.