Hi, Nauza Toyota verossa,
Year; 2001 imported from Japan 2013.
CC ; 1980
Namba C.
Bei mil 8.
ni pm piga 0769 610 622.
Mh? Nzima ? mbona kama unalisukumia
Watz bana; angesema m12 mngesema bei sana bora kuagiza, kafanya m8 mnasema - mbovu nini mbona bei ndogo. Sasa lipi bora?
Usinielewe vibaya chief..hakuna ubaya na kusema 8m ila kwakua wengi tunazijua bei za verossa(hasa ikiwa haina muda mrefu kama hii)...atleast angesema ni kwanini anauza bei hiyo...hivi nikuulize..leo ukaambiwa kuna mtu anauza VX kainunua ndani ya mwaka mmoja, kwa 6M ...utakimbilia tu kununua bila kujua kwanini muuzaji amekubali kupata hasara...mi ninachoamini...hakuna mtu dunia hii anapenda kupata hasara.

verosa kwa 8m registrered with C ni very cheap tena hii ya cc1980. ningekua na mkwanja hii singeiacha nashauri kama kuna mtu hmu anapenda verosa kweli amchunguze muuzaji na sababu ya kuuza then alipe na kuondoka. huwezi pata sehemu nyingine hii bei
bonna asante kwa kumuelewesha Jerrymsigwa. Any rational buyer will question unrational price whether low or high
Mh? Nzima ? mbona kama unalisukumia
Mimi mahitaji yangu ni noah kwa ajili ya familia,pia ina km 90,000/=
We boya kweli. Anaesema anahitaji Noah ndo mwanzilish wa uzi huu, sasa aanzishe uzi upi mwingine?,anzisha uzi wako
anzisha uzi wako
Nina nissan xtrail tubadilishane?Mimi mahitaji yangu ni noah kwa ajili ya familia,pia ina km 90,000/=
Hi, Nauza Toyota verossa,
Year; 2001 imported from Japan 2013.
CC ; 1980
Namba C.
Bei mil 8.
ni pm piga 0769 610 622.