NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,918 Jan 1, 2023 #61 Mike400 said: mtu anaongea bila kufanya research .. sema ndo hivyo kaka huwezi mzuia mtu kutoa maoni yake Click to expand... Amemtusi vyema tena kitaalamu white wizard said: Mimi baada ya kuinunua, nilimpa jamaa yangu, 50, 000, ambaye ni mzoefu, wa huko, niliikuta dar, ki fupi pale bana, kuna wenye kazi hizo, na yeye aliniambia hivyo!!hivyo ki uhalisia cwezi sema bei halisi. Click to expand... Kumbe ilikuwa deal sasa mbona mnaharibu biashara za watu hapa.sasa mtu umenunua tv alfu hamsini ilikuwa ya nini?tupendane
Mike400 said: mtu anaongea bila kufanya research .. sema ndo hivyo kaka huwezi mzuia mtu kutoa maoni yake Click to expand... Amemtusi vyema tena kitaalamu white wizard said: Mimi baada ya kuinunua, nilimpa jamaa yangu, 50, 000, ambaye ni mzoefu, wa huko, niliikuta dar, ki fupi pale bana, kuna wenye kazi hizo, na yeye aliniambia hivyo!!hivyo ki uhalisia cwezi sema bei halisi. Click to expand... Kumbe ilikuwa deal sasa mbona mnaharibu biashara za watu hapa.sasa mtu umenunua tv alfu hamsini ilikuwa ya nini?tupendane