TV4Sale Nauza TV, Leta Offer yako mwenyewe

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,553
3,515
Ndugu zangu nauza TV mbili.

1. Boss 32".
Hii imetumika kama miezi miwili. Iko vizuri kwa kila kitu lakini tatizo lake iliungua taa, mara ya kwanza nilitengeneza ikakaa sawa lakini ikaungua mara ya pili nikaachana nayo nikanunua nyingine.

Kwahiyo tunaweza kusema inaongea ila haioneshi sabau taa zimeungua. Gharama za kutengeneza elfu 40 Kariakoo.

Ukiipenda sema mwenyewe utanipa bei gani.

IMG_20211217_185800.jpg


2. TCL 24"
Hii iliharibika kioo baada ya kupakiwa kwenye buti la basi wakati wa kusafirisha.

Kama una namna ya kupata kioo sema utanipa bei gani nikuachie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom