Nauza tv flat screen

Nauza tv flat screen

mama jason

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Inchi 42 shs 880,0000 nimeitumia mwezi mmoja tu ina port zote muhimu kasoro usb.unaeza iweka ukutani au mezani.ni ya mtumba kutoka zanzibar.na nyingine nyingi zunapatikana kwa atakayehitaji ani pm
 
Attachments

  • 1395390909883.jpg
    1395390909883.jpg
    28.8 KB · Views: 258
Aina gan je ni led au lcd kwanin uuze bei na ushaitumia pili inaonyesha ni ya kizaman kwanin isiwe na usb port, ntajuaje kama umetumia mwez mmoja? Tatu mia 6 unaweza chukua
 
Ni toshiba ni kweli nimeitumia mwezi mmoja kaka jifunze kuamini ni led hlf cio kila tv ya kisasa ina usb port,tatu mia sita sixhukui maana mimi nimenunua laki nane na 80 hapo nataka rudishiwa pesa yangu kwa vile nahamia mkoani cpendi kwenda nayo
 
Kitu kitoke dukan kimetumika then kiuzwe bei hyo hyo sijawah ona nakushaur nenda posta wanasafirisha mizigo safir nayo tu kuliko kuuza kwa hiyo bei. Usb port ni ukisasa wa hicho kitu kama huamin basi bki hivyo hvyo.
 
Bei itapungua km atatokea mtu ila haitofika hukoooooo kwa laki tatu loh
 
kama haina ata usb port ni ya zamani sana!!! hata software yake huwezi kuiupdate, laki tano chukua!!!
 
Hiyo ni analogia siku hiz receivet zenyewe zina usb port ije kuwa tv ya laki nane tena ni led na mashaka na hapo
 
Inchi 42 shs 880,0000 nimeitumia mwezi mmoja tu ina port zote muhimu kasoro usb.unaeza iweka ukutani au mezani.ni ya mtumba kutoka zanzibar.na nyingine nyingi zunapatikana kwa atakayehitaji ani pm

hahaha wewe dada unauza milion nane na themanini au laki nane na themanini hebu angalia ulivyoandika
 
Mgonjwa wewe. TV flat inch 28 laki 8+? u are not serious na inaonekana we ni dalali tu. Usiwafanye watu wageni kwenye city ka flat TVs kabovu hakana USB port laki 8+. U need a doctor (mental one)
 
Mgonjwa wewe. TV flat inch 28 laki 8+? u are not serious na inaonekana we ni dalali tu. Usiwafanye watu wageni kwenye city ka flat TVs kabovu hakana USB port laki 8+. U need a doctor (mental one)

Sasa hayo matusi yoote ya nini?au mi nimetukana mtu hapo ?embu jifunze kujenga hoja kukingana na topic.usilazimishe watu waelewe unachokiongea kwa matusi ....
 
ila bei ni kubwa,
kibongo bongo hiyo hela unaweza pata hata tatu.
 
Mgonjwa wewe. TV flat inch 28 laki 8+? u are not serious na inaonekana we ni dalali tu. Usiwafanye watu wageni kwenye city ka flat TVs kabovu hakana USB port laki 8+. U need a doctor (mental one)

Hujalazimishwa kununua. Kama unayo HITACHI yako ya chogonyuma inch 15'' inakutosha.
 
Error typing nadhani ni mil..8 na elf 80000 sasa ww mama niletee huku Tunduma kwa laki 550,000
 
Kiwanja kinauzwa mbezi malamba mawili bei poa mawasiliano ni 0717081592,0659498338
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom