Nauza Trekta

Uled

New Member
Sep 15, 2011
1
0
Jaman nauza Trekta,ni mpya kabisa haijatumika Tanzania ni MF 240. Na International 684 hii imetumika Tanzania. Bei maelewano 0713474348 Khalid
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
168
Zina hourse power ngapi? Je ni 4*4? Matairi yapo katika hali gani? Yamechapa kazi masaa mangapi?, yapo mji gani hapa tz? Bandika picha kaka. Kuna mtu namfaham anatafuta trekta.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom