JULIETH JOHN
Member
- Jan 19, 2011
- 7
- 0
dukani ukienda unakuta vitu vina beiGali ziko dar es salaam mbezi beach, serious buyer aje kuziona. Piga simu 0754002900 au 0754002700.
Salaam dada Julieth;Landrover aina ni discovery rangi ya dark green na toyota vx ni silver metallic
....halafu hizi tabia za kusema gari lilikuwa linatumiwa na mwanamke zinakera sana! Mantiki yake ni nini? Anakuwa halitumii au analitia shombo au inakuwaje vile?
PICHA NDO INGEKUWA VIZURI-MANA KITU MTU UKIKIONA NDO UNAPATA UELEWA MZURI-kumbuka hata watumwa walikuwa wakipelekwa sokoni-wauzaji wake hakusema nina strong boys 5 ataewataka aje nyumbani-hapana,tupe picha tujue ipi ya kuchukua na ipi yakuachaLandrover aina ni discovery rangi ya dark green na toyota vx ni silver metallic
mbona mnamsumbua dada julieth?
Anauza gali bana!