Habari wanajamvi.Kwa yeyote anayetaka au anayejua mtu anataka kununua gari Toyota Starlet EPI91 anaweza kunipigia simu namba 0784505171 na 0715505171 ili aweze kuiona na kuitest ili kujilidhisha zaidi ya kuona picha nilizoweka hapo na kisha afanye maamuzi.Utaijua bei kama tu utapiga simu na si vinginevyo.Samahani kama nitawakwaza wengine.Natanguliza shukrani.
Sasa wewe hadi mtu akupigie sim ndio umpe bei?
Hii kali,maana maelezo tuya gari hayajitoshelezi kabisaa.
Hembu angali wenzio walipost kuhusu uuzaji wa magari ili upate somo.
Na bila kuweka bei hapa utakwama.
Hiyo gari ni model ya mwaka 1998 na bei yake ni 6,000,000 ila naifahamu JF mwenye nia atanipigia kwa maongezi zaidi.Nashukuru kwa utayari wenu.Kama kuna la zaidi tuwasiliane[/I][/I]
starlet ya mwaka 1998 alaf imeingia bongo kitambo usajil namba A... bado unauza 6m hebu acha mzaha na pesa babu iyo pesa kama m2 anayo cash c bora mtu aagize kutoka japan
starlet ya mwaka 1998 alaf imeingia bongo kitambo usajil namba A... bado unauza 6m hebu acha mzaha na pesa babu iyo pesa kama m2 anayo cash c bora mtu aagize kutoka japan
UNGAMANGE Wewe ni mwitaji wa hiyo gari au kuna mtu unamjua anaitaka hiyo gari au ni mpambe wa kawaida ambaye huna mtu aitakaye wala wewe mwenyewe huhitaji? Kama ni wa kundi hilo la pili sawa ila kama unalotaka au kuna mtu analitaka tuwasiliane hatutashindwana.Na kama wewe ishu yako ni namba nitakuuzia na kukubadilishia namba mpya.Natania