Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

Ndio mana hata muuzaji lilimpa uvivu kutembelea,we muda wote huo ndio hizo km!!!?
 
Jamani tunatofautiana sana matumizi ya magari, vipato na safari kwa wiki.
Naomba tu niconfirm matumizi ya mafuta ya gari hii. Ukiweka elfu 20 taa inawaka na ukifanya mchezo gari itazima. Haitaki mafuta ya vituo vinavyochakachua kwahiyo hakikisha unaweka engen, total, bp au oilcom tena za maeneo ya wazi sio za vichochoroni.
Kwa matumizi ya safari kwakweli hii gari utaipenda, very comfortable, inakimbia na haiyumbi hovyo. Ni gari nzito na unaenjoy kuendesha.
Matumizi ya mafuta ni avarage kilometa 6 kwa lita safarini na tano mjini.
Kuna mtu ameuliza gari inaonekana nzuri lakini bei ndogo. Hii ni kwasababu gari imeshatumika miaka mitano bongo na pia iliingia nchini kipindi TRA hawajaanza wazimu wa kukomesha raia kwenye kodi za magari.
Kuhusu Kilometer kuwa chache, hii gari miaka yote mitano imeendeshwa kutoka mikocheni kuja morocco airtel na magomeni kwenda masaki siku tano za wili. Hizo ni less than 100 km per week. Mara chache imesafiri nje ya dar
Haina tatizo lolote na ninavyoandika msg hii naitumia ( nimepark sehemu).
Kuna mtu jana kanipigia simu anaoffer mil3. Hehehe, sasa ndugu yangu unataka gari kwa mil3 utaliweza kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom