Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

GreenHouse

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
280
Reaction score
262
*****GARI IMESHAUZWA*****
Toyota Progress ya mwaka 2001 inauzwa shilingi Million 6 tu.
Automatic
2500 cc
Imeshatembea 78500Km tu
Ipo nchini tangu 2010
Bado iko katika hali nzuri sana, engine na kila kitu kipo intact.
*****GARI IMESHAUZWA******
ImageUploadedByJamiiForums1428071844.612970.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1428071878.800564.jpg ImageUploadedByJamiiForums1428071893.535533.jpg

Karibuni
 
Ni kama gari zuri hivi ila naona kama bei iko chini sana eti!!!!
 
inakunywa mafuta kushinda Prado,gruger,rav4,forester?
kama unapenda gari yenye nguvu basi usiwe muoga wa kuweka mafuta.
kweli mafuta inamimina lakini inakimbia pia.
 
Lisemwalo lipo, kama halipo litakuja.

Bora nibakie na kibaby walker changu, tutakutana fuel station.

Nimetumia hiyo GARI wese lake n heri tu ukatumia Prado!!!!

CC 2500 si mchezo!!!
 
Duh! Prado afadhali???

Hii kali!!

Yaani wese linavyokatwa heri utumie Prado tu ufaidi na specs zingine ujue moja kuliko kutembelea sedan kwa hasara hiyo!!!

Ukitaka kujua gharama ya wese nunua progress hata efficiently haiko poa!!!
 
Hizi gari labda km ni mtu wa trip ila km kwa mjini ni mtihani.
Maana inakula mpk 5.5km/litre km prado za 2.7trj yaani bora hata kluger ya 2.4 vvti inakula 6.7-7 kwa town km full time unatumia AC
Hzo gari zote nimezitumia na hayo nimeyaona dhahiri.
 
Yaani wese linavyokatwa heri utumie Prado tu ufaidi na specs zingine ujue moja kuliko kutembelea sedan kwa hasara hiyo!!!

Ukitaka kujua gharama ya wese nunua progress hata efficiently haiko poa!!!
Santa kwa taarifa.... Mi nna aleji na vituo vya mafuta.
 
Hizi gari labda km ni mtu wa trip ila km kwa mjini ni mtihani.
Maana inakula mpk 5.5km/litre km prado za 2.7trj yaani bora hata kluger ya 2.4 vvti inakula 6.7-7 kwa town km full time unatumia AC
Hzo gari zote nimezitumia na hayo nimeyaona dhahiri.

Ha ha umeona ehh ndo mana zimekosa washabiki kabisa hizo GARI!!! Siku niliyoliuza nilijiona Kama mwenye bahati Sana!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom